Ukitembelea tovuti ya Necta utakutana na tamko la Matokeo ya kidato cha 6 -2012.
Bila Waislamu kushtuka ina maana hawa watoto ndo ilikuwa imetoka. Natoa pongezi kwa
kikundi hicho cha Waislamu waliofanya ushujaa wa kwenda kuwakabili Necta.
Binafsi, nashauri zile shule ambazo zina wanafunzi mahiri lakini mwisho wa Necta, wanafunzi hao
hutokea wamefeli zifanyiwe utaratibu (kuanzia Necta hii), ili walimu wao waende huko Necta kuangalia
ni vipi watoto hao wamefeli.
Nasema hivi kwani mtindo wa sasa wa Necta kupokea Tsh.20,000/= za kukata rufaa kisha kutoa matokeo
yanayosomeka, "Haikubadilika"; kwa Tz yetu ya sasa (mf. ni utendaji mbovu ktk taasisi za
serikali na ukali tunaousikia wa Madame Mkurugenzi wa Necta, wa kutotaka kukosolewa) inaleta sura mbili;-
1. Watoto wetu wamegeuzwa chumo.
2. Inapunguza morali wa walimu wetu kwani necta haifundishi mashuleni na inamchango mdogo
kabisa ktk darasa. vitabu vyao havijitosherezi kabisa. Hawana hata maabara moja ya mfano tu.