Uzembe wa Tanesco kushindwa kuwa na mmbadala/alternatives

Uzembe wa Tanesco kushindwa kuwa na mmbadala/alternatives

orturoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2017
Posts
2,947
Reaction score
4,876
Wanajamvi habari poleni na hongereni kwa majukumu,

Bila kupoteza muda nielekeze hoja yangu ya msingi kulituhumu ili shirika la umeme kutokana na shirika hili kutokua na umakini hasa kwa wateja.

Yapo matatizo mengi ila ntaelekeza hoja katika manunuzi na mfumo mzima wa luku mfano tokea jumatatu wateja wameshindwa kununua umeme na ikiwezekana basi token hazikubali kuingia kwenye mita tatizo ni kuwa mfumo wa luku haufanyi kazi bila kutoa maelezo kwamba wanategemea tatizo litashughulikiwa mda gani hoja ya msingi ni kwanini shirika kubwa kama hili lisitengeneze system zenye mmbadala kuliko kutegemea mfumo wa aina Moja ambao pia unawaingizia hasara kwa siku zote ambazo huduma imekosekana?.

Nashauri wizara Iwe na malengo mapana katika kuboresha/upgrade mifumo yote hii inayo Fanya kazi bila kuathiri wateja.
 
Watu wenye maoni hafifu wamejazana humo...unategemea nn..watu wanaingia wanatoka kazini haijalishi wamefanya nn lakini salary inaingia mwisho wa mwezi.
 
Watu wenye maoni hafifu wamejazana humo...unategemea nn..watu wanaingia wanatoka kazini haijalishi wamefanya nn lakini salary inaingia mwisho wa mwezi.
Uzembe huu kuwa na miradi mikubwa bila maono ni upuuzi
 
Nimekutana na hii ya token kutoingia kwenye mita. Sijui itakuwaje sasa
 
Back
Top Bottom