Uzembe wa watanzania

Uzembe wa watanzania

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
463
Reaction score
1,009
Ni Tanzania pekee Kati ya nchi zote nilizosafiri Afrika unakuta mtu kaacha duka lake wazi kabisa katoka hajaacha mtu wala nini Sasa cjui ndo uaminifu sana au nini au hata Km kaacha mtu basi kafunga kasepa.

Jana nlikuwa Mapinga pia maduka kibao ivyo Yaani akili zetu zimelala wateja wanakuja wao wapo busy wanapiga stori kona au wanasuka, pia hatuna curiosity kabisa Km mteja akiuliza kitu Km hukijui kuuliza ni nn au uandike pemben in case wengine wakiuliza uwe unaweka.

Nairobi nlikuwa nikipita madukani iwe pharmacy au nn nkiuliza kitu hawajui wanauliza ni nn iko na wanaandika pembeni lakini TZ utakuta wa juzi anasoma Insta hata Km hajasikia vizuri hata hajishughulishi. Tuamke Jamani Internet ina mengi sio umbea tu wa Insta na mastaa ambao hawatusaidii chochote.

Pia Maduka ya waislamu Posta na kkoo wekeni basi Wakristo wa staff mnaowaamini ili mkienda kusali mnawaachia tuendelee biashara kuliko kufunga maduka yote. Mnapoteza hela na wateja. Hadi Saudi wamebadilika. Ni hayo tu leo.
 
Pia Maduka ya waislamu Posta na kkoo wekeni basi Wakristo wa staff mnaowaamini ili mkienda kusali mnawaachia tuendelee biashara kuliko kufunga maduka yote. Mna poteza hela na wateja. Hadi Saudi wamebadilika. Ni hayo tu leo.
Eeh hahaha muda wa swala unataka maduka yanaki wazi hilo halipo..
 
Ni vigumu kwangu hata kwa serikali kuwaajiri watu wasioweza kukaa ofisini kila wakati swala.
 
Unashangaa hilo?huku usukuman kama mtaa unaokaa kafariki mtu hairuhusiwi kufungua duka na ukikaid wananzengo watakula na ww sahan Moja...
 
sisi ni wavivu sana wa kufikiria Bongo na huwezi kuibadilisha hio n nature
 
Back
Top Bottom