phantomnation
Member
- Jun 8, 2022
- 58
- 106
Habari za jioni wakuu, natumai mko salamaa niskuchoshe tusichoshane kama kichwa cha habari kinavosema je kwako upi ni uzi bora wa mwaka 2024 unahisi unastahilii kutunukiwa tittle hiyo, mimi binafsi uzi uliotikisa ni wa @INSIDERMAN na uzi wake wa Jinsi biashara ya uber ilivyonikutanisha na mrembo huyu wa ajabu, tafadhali dondosha wako pia kwa wasio ujuaa wakaburudike nao🦦……