phantomnation
Member
- Jun 8, 2022
- 58
- 106
Ule Uzi natamni kusoma ila nikiangalia comment naona ni kama story ndefu na Ina wapenz wengi sijui nianzie wapi nitamaliza mwaka sijamalizaHabari za jioni wakuu, natumai mko salamaa niskuchoshe tusichoshane kama kichwa cha habari kinavosema je kwako upi ni uzi bora wa mwaka 2024 unahisi unastahilii kutunukiwa tittle hiyo, mimi binafsi uzi uliotikisa ni wa @INSIDERMAN na uzi wake wa Jinsi biashara ya uber ilivyonikutanisha na mrembo huyu wa ajabu, tafadhali dondosha wako pia kwa wasio ujuaa wakaburudike nao🦦……
Ule Uzi natamni kusoma ila nikiangalia comment naona ni kama story ndefu na Ina wapenz wengi sijui nianzie wapi nitamaliza mwaka sijamaliza
Anza tu naimanii hutojutiaaaUle Uzi natamni kusoma ila nikiangalia comment naona ni kama story ndefu na Ina wapenz wengi sijui nianzie wapi nitamaliza mwaka sijamaliza
NitajaribuAnx
Anza tu naimanii hutojutiaaa