Uzi gani wa kwanza kupostiwa JF?

Uzi gani wa kwanza kupostiwa JF?

fungi6

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2017
Posts
287
Reaction score
266
Naomba mtu anae isi amekua wa kwanza kuanzia JF imevumbuliwa?

Je, Maxence Melo huwa anaingiaga JF?

Je, kuna mtu kashawahi kula comment yake?

Am curious.
 
Uzi wa kwanza ushawahi andikwa humu na member wa kwanza pia.

Kula comment yake?
Kama ni kuchangia yes nishamwona kwenye baadhi ya nyuzi.
Kama ni likes yes hata mimi nishapata zake...
 
Uzi wa kwanza ushawahi andikwa humu na member wa kwanza pia.

Kula comment yake?
Kama ni kuchangia yes nishamwona kwenye baadhi ya nyuzi.
Kama ni likes yes hata mimi nishapata zake...
Naomba u iquote maana sioni
 
Nilikuwaga msumbufu zamani nikakoswa koswa na ban kwa huruma...ila nilikuwa mlalamishi kichizi na akawa anacomment comment kunituliza by that time
Ulikua unasumbua kiaje siasa nini?
Maana kule ukiwa auna uakika waachie tu wenyewe
 
Ulikua unasumbua kiaje siasa nini?
Maana kule ukiwa auna uakika waachie tu wenyewe
Awamu ya Nne nilikuwaga kamanda kindaki ndaki asikueleze mtu... Harafu nilikuwa muumini wa Jf kiasi kwamba natumia zaidi ya masaa 8 per day active on Jf
 
Jf bhana mtoa post usishangae kuambiwa ana miaka 70 😆
 
Uzi wa kwanza ulikuwa unahusu sheria za jamii forums.
 
Back
Top Bottom