Nini hiki?iquote
Ulikua unalalamikia nini mkuu, na je tatizo lako lilipatiwa ufumbuzi?Nilikuwaga msumbufu zamani nikakoswa koswa na ban kwa huruma...ila nilikuwa mlalamishi kichizi na akawa anacomment comment kunituliza by that time
Harafu wewe Kuna sehemu tulimeat by that time.....Ulikua unalalamikia nini mkuu, na je tatizo lako lilipatiwa ufumbuzi?
Awamu ya Nne nilikuwaga kamanda kindaki ndaki asikueleze mtu... Harafu nilikuwa muumini wa Jf kiasi kwamba natumia zaidi ya masaa 8 per day active on JfUlikua unasumbua kiaje siasa nini?
Maana kule ukiwa auna uakika waachie tu wenyewe
Lini hiyo mkuu? Humu nimejoin 2017Harafu wewe Kuna sehemu tulimeat by that time.....
Nadhaniaga wewe ndo unajua vizuri... Ngoja nikutaftie ushahidi utanielewaLini hiyo mkuu? Humu nimejoin 2017
Likely ishu za mademu [emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Ulikua unalalamikia nini mkuu, na je tatizo lako lilipatiwa ufumbuzi?