Uzi Huu Maalum Kwa Ajili Ya Kuibariki Israel Taifa La Mungu

Uzi Huu Maalum Kwa Ajili Ya Kuibariki Israel Taifa La Mungu

zinc

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2013
Posts
1,391
Reaction score
1,068
Wadau JF,

Nimeona niandae thread maalum kwa wanaopenda kuibariki Israel tu. Nina imani hili ndiyo taifa teule La Mungu. Bila Kupoteza muda maana watu wamekuwa wakipigizana makelele yasiyokuwa na kichwa wala miguu.

Mimi ninaibariki Israel maana ni taifa teule la Mungu kupitia Abraham Baba wa Imani na mwenye Haki.

Barikiwa Israel
 
Nyie hamuelewek mara mseme Israel imebarikiwa , mara Leo unasema wewe unaibariki, wewe ni nani hata ukawa na uwezo huo? na kama una uwezo wa kubariki kwa nini usianze kuwabariki watanzania wenzako?
 
Kwa mujibu wa imani yako ni sawa ila nijuavyo mm Mungu hana upendeleo kwan hata cc watanzania tukiamua kutubia kwa Mungu wetu basi atatubariki na tutakua taifa teule kwa matendo yetu
 
hahahahaha kama ni taifa lake teule unahangaika nini kulibariki? mwenyewe kwani halioni?
 
Nyie tulieni! Achen fujo, mna maono na kitabu kitakatifu?
 
Back
Top Bottom