Habari wadau
Naomba nilete kwenu uzi ambao utawaisaidia kuwapa hamasa watanzania wenzetu kwenda kucheza mpira nje mfano akina SAMATTA,msuva na awengineo wengi ili kutoa hamasa kwa wengine eaone umuhimu wa hili jambo nawasilisha.
Usajili na timu zote hapaa