Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Shuka kama limetumika mfululizo ndani ya wiki moja tu lazima lifuliwe ila hapo kwenye mapazia dah.! nafikiri ni wastani wa mara moja kila baada miezi takribani 7 mpaka 8Mabachela wenzangu,huwa mnachukua miezi Mingapi kufua Mashuka na Mapazia,..
Jadda akiiona hii comment yako atasema huo ni utumwaNaomba nijib kwa niaba yao,,hua tunaenda kuwafulia kila baada ya wiki moja akina sisi tunaoenda kwenye mageto yao na kujifanya ni wife materials.
Kuna vitu vya kusahau.πππ Chino nikajua umesahau jina langu!!
Hivi umerudi town au bado uko bush?
πππ Nimeshangaa hilo jina hujalisahau!!Kuna vitu vya kusahau.
Ila sio jina lako ujue.
Kila siku unaninipita na X5 yako manzese darajani hapa. Not fair
Poor Brain ,πMm nimegoogle kama mapazia yanafuliwa kwangu ni suala geni kidogo
Huyu kafutia nn?π
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kasema vina jotro eti!!
Kumbu kumbu ya ilo jina ni siku ulivyostream live for the first time. Chino akabaki kuishiwa nguvu tu.πππ Nimeshangaa hilo jina hujalisahau!!
X5 nitoe wapi?? Mi nadandia mwendokasi
Buguruni au river side, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kazi inakuwa hamna unabaki unatoa macho tuu unawaza sijui nikaokote wapi [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Navimumunya km ubuyu wa babu wa Issa [emoji1783]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Navifyonza afu navitema, navikamata navirudisha tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kisha navipuliza viwe vigumu.!! Raraa em tuma hivyo [emoji523] nivione
Nasikia river side server iko down!?!Buguruni au river side, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
ππππ sema kweli?Kumbu kumbu ya ilo jina ni siku ulivyostream live for the first time. Chino akabaki kuishiwa nguvu tu.
Hatareee uduguu πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anaringa kuvionyesha hivyo π πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daah, nimecheka sana.Sijui kama unafahamu huwa tunatumia vest kuchuja chai ama vichupa vya deodorant huwa tunavitumia kuhifadhia chumvi
Mbavu zinauma kwa kicheko.Okay me nitaanza na changamoto:
(1) Usafi unatutesa sana. Kuanzia usafi wa nyumba, nguo na mashuka/mapazia.
Solution:
Kumpa mama fua nayo risk kwasababu wale wanafanya usafi hadi wa mwili ukileta nyege unakuta umemla.
Ukiwa na pesa nunua washing machine na vacuum cleaner. Vinasaidia sana.
Na kamwe, usilie chips ghetto na kama unapika usiseme vyombo nitaosha kesho.
Mende wanatusumbua. Unakuta ukiwa peke yako hawaonekani ila punde wageni wakija those fuckers zunaruka ruka na mabawa sebuleni ova vipepeo.
Hapa hapa pia kuna issue ya kupanga ghetto, aisee tunakuaga na maghetto ya ovyo sana. Yaan utakuta sehemu ya nguo safi na chafu haijulikani na siku nyingine unakuta sox jikoni, Sufuria kwenye kochi.
(2) Tatizo la pili kubwa ni msosi. Bachelor tunakula vibaya sana especially msosi wa jioni.
Hii wahanga wakuu ni sisi ambao hatupiki, aisee maisha aya.
Me naomba serikali itusaaidie. Asante.
Haha unafikiri chino ni boya kumganda mtu kama ruba?ππππ sema kweli?