Chrysanthemum
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 1,531
- 5,787
Wadau tumeona nyuzi mbalimbali zikitoa ushauri mzuri huu uzi ni kwa ajili ya ushauri usio na Faida tu , Nitaanza [emoji3][emoji3]
"Kama hana hela piga chini"
" Wewe ukishindwa acha tu , sio lazima wote tuwe matajiri "
"Ogopa cancer tu hizo nyingine ni homa tu"
Next [emoji2]
"Kama hana hela piga chini"
" Wewe ukishindwa acha tu , sio lazima wote tuwe matajiri "
"Ogopa cancer tu hizo nyingine ni homa tu"
Next [emoji2]