Uzi kwa ajili ya wanachuo wanauza assets zao ili wapate Ada ama nauli

Uzi kwa ajili ya wanachuo wanauza assets zao ili wapate Ada ama nauli

Tangazo kwa Wanachuo waliokula Ada. Tunanunua simu za wanazouza ili wajazie katika Ada na nauli zao za kurudi chuo.

Mwanachuo weka tangazo lako usione aibu.... Kitaa pagumu na ndiyo may be ushakula Ada.
Anayeuza flat screen smart aina yeyote 43 au 49 inches, tuwasiliane inbobo
 
Back
Top Bottom