Uzi kwa wale wenye roho ngumu tu..

M nataka nijaribu kwa michepuko yangu ili nijue chain kama ndefu nijikate. Naomba kujua naweza kufuatilia simu ngapi kwa wakati mmoja?
 
Vijana tutakufa kabla ya mda na kuacha wake zetu wakistarehe zaidi na zaidi na mdogo.
 
si unaona ss, ni bora muendelee kuishi tu hivyo hivyo labda kama ndo mnaanza kuDate au vipi!!
Eeenh sio mambo ya kuanza kuchunguzana jaman ili ugundue nini jaman

Mwanzo nilikua na tabia ya kushika simu ya mr kila nikishika lazima tu nikutane na majanga halaf kumuacha huwezi unabaki kulia lia unaombwa msamaha yanaisha

Nikakaa nikafkilia hivi nikiacha kutoshika simu yake mbona naishi kwa amani toka siku hiyo hata iite hapo hayupo akiishika atakutana na missed calls zake
 
Ndo inavyotakiwa ukimchunguza bata huwezi kumla
 
Mimi huwa siitafuti Shari.. Naisubiri ije yenyewe kwakuwa kama ipo itajitokeza tu... Kuna mistake mahali itafanyika

Jr[emoji769]
lkn hata ikifanyika itakua umeshajiandaa kiakili na kimwili mana utakuona umeona dalili
 
hahaha hongera sana umekuwa na moyo mgumu
 
Hivi hizi akili za kuwachunguza wapenzi wenu zinatoka wapi???Mimi hii tabia siiwezi
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Mimi naishika anytime nikijisikia, na naichunguza pale inapobidi. Nimefail kuishi kwenye denial kabisa, siku nikifa kwa presha ndo ntaacha kuishika
Kushika simu ya mpenzi wako sio suala la kuogopa hata kidogo.

Wqnaoogopa pointi yao ni unashika ukikutana na mabaya utafanyaje?

Sasa kweli uogope kuishika kisa utakutana na mabaya? Hivyo kwako ni aheri mabaya aendelee kuyafanya ila tu kisa hauyajui unajipa moyo hayapo ilihali yapo.

To me pia Hili hapana.

Nitashika simu pale itakaponibidi kuishika na nikigundua nyendo zake zimebadilika nitaichnguza.

Mahusiano yana mengi sio lazima kucheat... kuna kumsomesha unataka kuhakiki kweli anafika chuo! Je matumizi ya pesa anayatumiaje? n.k
 
Sinaga muda Mimi ,mpenzi wangu ni mkono,bafu na sabuni wakisindikizwa na mwenzao balimi ndogo extra lager
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…