Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,394 Reaction score 59,069 Dec 19, 2020 #2 Kila la kheri
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 24,314 Reaction score 38,919 Dec 19, 2020 #3 Kwamba wasiooa waje kuwatafuta hapa......?
Shing Yui JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 15,168 Reaction score 38,049 Dec 19, 2020 #4 Unataka wangapi? Kichwa yako ya habari inasema "UZI KWA WANAWAKE AMBAO HAWAJAOLEWA" Kwanza nimedhani labda umewafungulia uzi wanawake ambao hawajaolewa ili wabadilishane mawazo😄😄
Unataka wangapi? Kichwa yako ya habari inasema "UZI KWA WANAWAKE AMBAO HAWAJAOLEWA" Kwanza nimedhani labda umewafungulia uzi wanawake ambao hawajaolewa ili wabadilishane mawazo😄😄
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 154,929 Reaction score 459,607 Dec 20, 2020 #5 Kilichonileta hapa ni kuja kusoma comment tu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 20, 2020 #6 Kila la kheri... Cc: mahondaw