Uzi maalim tujikumbushe maisha ya mabibo hostel 2005 to 2009

Uzi maalim tujikumbushe maisha ya mabibo hostel 2005 to 2009

malinyi

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2017
Posts
223
Reaction score
321
Ni vyema tukashare interesting moments wale wote tuliowahi kuishi mabibo hostel.

Kulikuwa na mambo mengi mno ya kustaabisha na kuvutia.

1.Shuttle to main campus zilikiwa za kugombania ulifikia wakati asubuhi baadhi ya watu kuingia kupitia dirishani.

2. Mataa ya ubungo na trafiki alizingua.Nakumbuka siku moja tulisubiri dakika 45 mataa trafiki anakuruhusu gari za mjini to Kimara pekee.Sisi tumeganda lecture saa 1 kamili.

3.Wadada wa block F walinishangaza mno.Unakuta mdada anaampa yule mbabu dobi amfulie hadi chupi na sidiria shameless na hajihisi guilt kwamba yule mbabu ni umri wa baba yake mzazi.

4.My first time kusikia wimbo wa Abba wa Chiquita ilikuwa kwenye shuttle nikitoka main campus to mabibo hostel na ilikuwa siku yangu ya kwanza kupanda shuttle from main campus to mabibo hostel

5. Kuna jamaa walinunua manzi buguruni wakamla hawakumpa chake mwishowe manzi alianzisha noma akaishia kutolewa na askari akiwa nusu uchi asubuhi.

6.Wakati wa kampeni for Daruso presidency bwana Odwang Odwar mabibo hostel ulikuwa ngome yake kuu.

Ongezea experience ya kwako
 
Back
Top Bottom