Uzi maalum: Chati na umpendae usiku wa leo

Uzi maalum: Chati na umpendae usiku wa leo

holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
1,859
Reaction score
2,986
Najua kila mtu usiku uingiapo huhitaji kupumzika,lakini unapumzikaje bila hata kuchati na yeyote,unaangalia simu yako labda utakuua sms unakuta hola,unajaribu kumtumia dada wa watu "mambo" ila hajibu anakukalia kimya.

Uzi huu ni suluhisho,mtag yeyote umpendae kisha mpeane maneno ya mahaba kabla ya kulala. Uzi huu unawahusu zaidi mabachera. Karibuni
 
Back
Top Bottom