Uzi maalum: Growth Hacking

Uzi mzuri sana ,ntausoma tena na tena
 

Nimeshindwa cha kucomment!
Nimekosa neno la kutumia, ulichonilisha kwenye ubongo wangu ni kikubwa kikubwa sana,

Mimi ni mjasiliamali wa siku nyingi, nimekutana na vikwazo vingi, Hii Post yako imenifungulia ukurasa mpya kabisa katika ujasiliamali wangu.

Ubarikiwe sana, Mungu aendelee kukupa moyo huo huo wa kushare maarifa na wengine. 🤝🤝
 
Shukrani sana mkuu uzi mtamu sana [emoji1420]

Ila apo kwenye mbinu ya Decoy pricing unaweza kuifafanua vizuri ,utofauti wa bei unakua vipi ukilinganisha na bidhaa

Natanguliza shukrani
 
Ni ndefu lkn inafungua na kupanua ufahamu wa mambo mengi ya kibiashara katika ulimwengu wa kisasa. Juu ya yote inatia watu moyo wa kutokata tamaa na kuacha kabisa kulalamika kitu ambacho kinawangusha wengi ambao badala ya kufikiria atatokaje kwenye mkwamo wa shughuli yake, yeye anabakia kulalamika tu. Shukrani sana na ubarikiwe sana na Bwana.
 
Shukrani sana mkuu uzi mtamu sana [emoji1420]

Ila apo kwenye mbinu ya Decoy pricing unaweza kuifafanua vizuri ,utofauti wa bei unakua vipi ukilinganisha na bidhaa

Natanguliza shukrani
Alright, nitaifafanua kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…