Bia Ya Moto
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,227
- 2,816
Huu ni uzi maalum kwaajili ya Wadau/Wasafiri tunaotumia Viwanja vya Ndege Nchini vilivyopo chini ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA).
Zipo huduma nzuri,kero na changamoto tunazozipata Wadau/Wasafiri tunaotumia Viwanja hivi vyenye hadhi ya Kimataifa.
Tuwape Maua yao Watendaji wa Viwanja hivi;
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA),
Jeshi la Polisi Tanzania(PT),
Jeshi la Uhamiaji Tanzania(UT),
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania(ZT),
Idara ya Usalama wa Taifa(TISS),
Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya(DCEA),
Baraza la Usimamizi wa Mazingira(NEMC),
Wizara ya Afya Tanzania,
Mashirika yote ya Ndege ndani na nje ya Nchi.
Lakini pia tutoe madukuduku yetu ikiwepo Changamoto,Kero tunazokumbana nazo pindi tunapotumia Viwanja hivi ikiwemo Rushwa,Wizi na mengine mengi.
Karibu sana.