Huko Nyerere National Park kuna vi airstrips vya kutosha.tupo namtumbo, viwanja vya ndege tunaona kwenye picha za ANODI SHOZNIGA.
🤣🤣Wale hostess wa Emirates ni wakali kinoma.
Unaweza piga hesabu zako za benk kabisa
Asante, hadi November tena sasa.Air France imeanza safari kutoka Dar na Zanzibar hadi Paris, connections kuanzia Paris zipo ikiwemo London. Vinginevyo tumia Rwandair Kigali to Brussels kwa Toto Tundu, connections ni nyingi pia pale.
Asante, hadi November tena sasa.
Huyo Afisa alikuwa na lake jambo tu,picha unaruhusiwa kupiga popote pale bila kuzuiliwa na mtu.Ndani ya uwanja wa ndege, nimewahi kufuatwa na afisa usalama mmoja, akahakikisha nimefuta picha zote nilizopiga.
Yes hiyo ni kero kubwa,bado tunahitaji Ndege nyingi zitue viwanja vyetu tusipate adha hizi.Hapana Mkuu, toa tu uzoefu wako.
Mi kero yangu ni kukosekana flight ya Moja kwa moja kutoka Dar hadi Heathrow.
KLM via Amsterdam ni ghali sana.
Emirates via Dubai inachukua muda mrefu sana kufanya exchange.
Na pale Dubai, abiria tunatembea kwa muda mrefu sana jamani.
Ni hayo tu.
Asante ndugu Mwandishi.
[emoji12][emoji12]
Huko kuna Airstrip tu siyo Airport.[emoji1]Hivi Ushetu kuna Airport pia? 😳
Huu ni upumbavu uliotawaliwa na woga,why hukusema NO,hujavunja sheria yeyote ile, aliku profile umetoka MaketeNdani ya uwanja wa ndege, nimewahi kufuatwa na afisa usalama mmoja, akahakikisha nimefuta picha zote nilizopiga.
Mkuu, Unajuaje kama sikusema NO? Sidhani maneno kama "Upumbavu" na "uoga" unapaswa kuyatumia hapa kwa maana hukuwepo kwenye tukio lililonihusu mimi.... Nitake radhi tu,.. kwa hadhi yako humu hupaswi kutumia lugha isiyofaa.Huu ni upumbavu uliotawaliwa na woga,why hukusema NO,hujavunja sheria yeyote ile, aliku profile umetoka Makete