hamisi nondo
Senior Member
- Aug 21, 2011
- 192
- 172
waku naomba wenye ujuzi na hivi vitu waelezee wanayoyajua kwa faida yetu sote,,nimeona nianzishe uzi huu ili tupate elimu ya hayo mambo
1,,kampuni gani nzuri inayotengeneza mashine imara pia rahisi kutumia?
2,,mashine gani nzuri inayopima full system ktk gari mpaka kuprogram immoballizer?
3,,je hizi mashine hapa tz kuna maduka wanauza au wana mawakala?
4,, je hvi ni kweli hizi mashine zimapima mpaka mifumo ambayo haipo kwenye engine control unit(ecu) au control box,,mfano ball joint,,fan belt nk,,au utapeli wa baadhi ya mafundi
5,,je kuna uwezekano wa kutumia laptop kama mashine ya kupimia gari? kama jibu ndio,,je mahitaji gani yanatakiwa ili kutumia laptop kma mashine ya kupimia gari
nawasilisha