Uzi maalum kwa ajili ya kupeana zawadi\mialiko ya Christmas na mwaka mpya

Uzi maalum kwa ajili ya kupeana zawadi\mialiko ya Christmas na mwaka mpya

Mpauko

R.I.P
Joined
Jan 19, 2019
Posts
2,323
Reaction score
3,428
Wasalaam..


Christmas ni kesho tu hapo, kila mtu anachinja chinja na kuandaa madikodiko plus kupanga viwanja vya kutanua.

Huu ni uzi maalum kwa kupeana zawadi na mialiko, alika memba mwenzio ambaye ungependa kujumuika naye likizo hii, toa zawadi yoyote kwa memba yeyote atakayekubali kuonana na hata zawadi za miamala, tujimwambafai hapa!

Nikianza na mimi mwenyewe ningependa zaidi kuonana na marafiki wenye any disability especially wenye changamoto za masikio na wengine wengi wanaopenda kusocialize na watu wa aina hii maana wengine huonelea kerooo, karibuni!

Location Dar es salaam

Alamsik

images%20(10).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Back
Top Bottom