[emoji3] Naona aseeAtutaki
Ha ha ha haAhaha mnahangaika nyie watu kama ccm
Viongozi wetu nao ni tatizoMabadiliko hadi atokee mtu mwenye pesa ashinikize ndio watakubali ata wale kina doto sio kama wao ni shinikizo la mwenye pesa ndio wakakubali tunakazi sana sisi kujielewa umuhimu wetu wa kuanzisha jambo
Manji yupo ila matatizo yake yanamfanya aipumzishe Yanga kwanza, ila hiyo sio tiketi ya kuachana na shughuli muhimu klabuni kama hiyo ya mabadilikoManji hayupo hatutaki
Simba haihujumiwi na Yanga, uwezo wao uwanjani ndo unaihukumuPambaneni na hayo kwa maslahi ya timu yenu badala ya kugawanya nguvu ndogo mliyonayo kuihujumu SIMBA.
Viongozi wako kimya tu, kuna haja ya kuwaamshaMabadiliko yamefikia wapi??