Uzi maalum kwa ajili ya walevi tu

Uzi maalum kwa ajili ya walevi tu

Matanga

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2019
Posts
2,281
Reaction score
3,976
Jinsi ya kula pombe ukiwa ofisini

Agiza matunda yawekwe kwenye kikontena mpe maelekezo muuzaji akuchanganyie na k-vant ndogo chupa moja, nunua potion nyingine ya matunda yasiyo na pombe ili ukiwa unakula atakaye taka kuonja unampa hayo.

Utanishukuru kesho jioni[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je ss ambao hatpo ofisini unatupa mbinu gan mkuu...?

yess BiShoo haswaaAaa
 
Matokeo ya pombe yatakuja pale utakapomaliza kula hayo matunda
 
pombe bana
IMG-20200129-WA0021.jpeg
 
Back
Top Bottom