Matanga JF-Expert Member Joined Nov 13, 2019 Posts 2,281 Reaction score 3,976 Jan 27, 2020 #1 Jinsi ya kula pombe ukiwa ofisini Agiza matunda yawekwe kwenye kikontena mpe maelekezo muuzaji akuchanganyie na k-vant ndogo chupa moja, nunua potion nyingine ya matunda yasiyo na pombe ili ukiwa unakula atakaye taka kuonja unampa hayo. Utanishukuru kesho jioni[emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
Jinsi ya kula pombe ukiwa ofisini Agiza matunda yawekwe kwenye kikontena mpe maelekezo muuzaji akuchanganyie na k-vant ndogo chupa moja, nunua potion nyingine ya matunda yasiyo na pombe ili ukiwa unakula atakaye taka kuonja unampa hayo. Utanishukuru kesho jioni[emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Jan 27, 2020 #2 Je ss ambao hatpo ofisini unatupa mbinu gan mkuu...? yess BiShoo haswaaAaa
Kitombise JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 8,575 Reaction score 25,619 Jan 27, 2020 #3 Matokeo ya pombe yatakuja pale utakapomaliza kula hayo matunda
olym JF-Expert Member Joined Jul 25, 2019 Posts 265 Reaction score 450 Jan 28, 2020 #4 Hiyo ni level mbaya ulevi mkuu, hata kuvumilia baada ya kazi hauwezi tena Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni level mbaya ulevi mkuu, hata kuvumilia baada ya kazi hauwezi tena Sent using Jamii Forums mobile app
Leonardchama7 JF-Expert Member Joined Apr 14, 2018 Posts 2,963 Reaction score 4,027 Jan 29, 2020 #5 Duh! Ukiona huwezi hata kujicontrol basi tambua uko kwenye hatua mbaya Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Ukiona huwezi hata kujicontrol basi tambua uko kwenye hatua mbaya Sent using Jamii Forums mobile app
SK2016 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 8,016 Reaction score 13,780 Jan 30, 2020 #6 Mlevi mmoja na Castle Lite mnaitwa huku. Sent using Jamii Forums mobile app
mzushi flani JF-Expert Member Joined Jan 20, 2020 Posts 1,627 Reaction score 2,473 Jan 31, 2020 #7 pombe bana
baharia 1 JF-Expert Member Joined Sep 13, 2019 Posts 1,580 Reaction score 1,773 Feb 5, 2020 #8 Tungi Sent using Jamii Forums mobile app
Matanga JF-Expert Member Joined Nov 13, 2019 Posts 2,281 Reaction score 3,976 Feb 5, 2020 Thread starter #9 Kwani upo wapi mkuu? fundi bishoo said: Je ss ambao hatpo ofisini unatupa mbinu gan mkuu...? yess BiShoo haswaaAaa Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani upo wapi mkuu? fundi bishoo said: Je ss ambao hatpo ofisini unatupa mbinu gan mkuu...? yess BiShoo haswaaAaa Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Feb 5, 2020 #10 mwamwala iyunga said: Kwani upo wapi mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mtaani tu yess BiShoo haswaaAaa
mwamwala iyunga said: Kwani upo wapi mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mtaani tu yess BiShoo haswaaAaa