Uzi maalum kwa kutupia picha ya mchezaji unaemkubali

Kwawale wa Arsenal,: sanogoooo
 
Hapa Babu Fergie alituingiza cha kike aisee
 
Naanza na mfalme wa soka kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka...nakuombea Mungu azidi kukupa afya njema uendelee kutupa burudani ambayo hatukuwahi ipata kwa mchezaji yeyote....

1-King and Man United


Diego armando maradona


Zinedine zidane zizzo/ustadhi


Juan roman requelme
King and Lyon
 
Kwa wachezaji wa kiafrika niliokuwa nawakubali kinoma naanza

Yusuph hadji hakuna asiyemjuwa huyu mkongwe, ana ndugu yake pia Mustapha hadji i think ashastaafu


JJ Okocha, huyu mshkaji nilikuwa namkubali zaidi hata ya gaucho...


Mohamed Aboutrika, huyu legend na matege yake alikuwa balaa, yani hakamatiki...pale egypt kulikuwa na mafundi wengi sanaa....




Youssef Hadji and Paul Ulrich Kessany, huyu mshkaji alikuwa noma...Mtunisia huyu

Mussolin5
 
Duu naona mzee baba anakokota kijiji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…