Uzi maalum kwa madereva bodaboda na wapanda bodaboda

Uzi maalum kwa madereva bodaboda na wapanda bodaboda

kocha Nabi

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2022
Posts
709
Reaction score
1,881
Habari wakuu

Lengo la uzi huu ni kupeana mbinu mbalimbali za --kuendesha boashara hii

-changamoto zake

-kupeana taarifa za kiusalama

-maduka yanayouza pikipiki kwa bei rahisi

-upatikanaji wa spare

-changamoto za kiufundi

-vituko vya barabarani

Mbinu wanazotumia wezi kuiba pikipiki

Kwa abiria

- njia za kuepuka ajali

- jinsi ya kumtambua boda asiye na ujuzi

- jinsi ya kumtambua boda aliye mwaminifu

- njia za kumtambua boda mwizi

- changamoto za bei kama unaenda mahala upajui

Toa mawazo yako ili wengine wajifunze.
 
kuna hii mbinu boda wengi wanaibiwa pikipiki kwa ujinga wao,
kuna watu wanakukamata kwenye trafic light wakijifanya ni polisi jamii, na wanabargain na wewe bei hapohapo, mkishindwana wanakwambia kampe hyo hela yako askari wa kwenye kibanda ukivuka barabara ukirud pkpk haipo.​
 
Kiukweli hao jamaa siwapendi sana ingawa sio mmiliki wala dereva wa boda boda. Jamaa ni wapumbavu sana
 
kuna hii mbinu boda wengi wanaibiwa pikipiki kwa ujinga wao,
kuna watu wanakukamata kwenye trafic light wakijifanya ni polisi jamii, na wanabargain na wewe bei hapohapo, mkishindwana wanakwambia kampe hyo hela yako askari wa kwenye kibanda ukivuka barabara ukirud pkpk haipo.​
Hupaswi kumwachia funguo mtu usiyemjua na always lazima ujiridhishe kama aliyekukamata ni mtu sahihi...
 
Hawa jamaa ndio wanafanyaga kazi ya boda boda inaonekana Mafi
Screenshot_20221111-052227.jpg
 
Bodaboda wengi hawapo makini pindi wawapo barabarani hii ni hatari. Hawapendi kujifunza kutokana na makosa waliyoyafanya wenzao, unashangaa mtu anaendesha bodaboda kwa speed kubwa katika eneo la makazi ya watu.wengine ni wabishi kusimama katika vivuko vya watembea kwa miguu, anaona magari yamesimama lakini yeye anataka kupita tuu.
BODABODA WANATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI.
 
Habari wakuu

Lengo la uzi huu ni kupeana mbinu mbalimbali za --kuendesha boashara hii

-changamoto zake

-kupeana taarifa za kiusalama

-maduka yanayouza pikipiki kwa bei rahisi

-upatikanaji wa spare

-changamoto za kiufundi

-vituko vya barabarani

Mbinu wanazotumia wezi kuiba pikipiki

Kwa abiria

- njia za kuepuka ajali

- jinsi ya kumtambua boda asiye na ujuzi

- jinsi ya kumtambua boda aliye mwaminifu

- njia za kumtambua boda mwizi

- changamoto za bei kama unaenda mahala upajui

Toa mawazo yako ili wengine wajifunze.
Kuepuka wizi au ujanja ujanja wa boda wa mjini natumiaga app ya BOLT
 
TAHADHARI
kwa madereva na wapanda bodaboda wanaotumia njia ya buguruni kuelekea TAZARA.
Kama ni boda ukifika kwenye daraja la treni ya SGR njia inakuwa nyembamba kutokana na zege ya upande wa kushoto iliyoshikilia nguzo kuzidi kwenye barabara, hivyo unashauriwa usipite katikati ya maroli kwenye eneo hilo kwani mbele yatakubana kutokana na hiyo zege kuifinya kidogo barabara.

kama wewe ni abiria na umeiona taarifa hii mjulishe dereva wako kama utapita eneo hilo.
Nimeshuhudia vifo si chini ya vitano hako kasehemu coz wengi hawafahamu, na waliokuwepo wanakimbilia tu kulaum boda kwamba kapenya kati kajiingiza mwenyewe uvunguni.

kwa mamlaka zinazohusika lichunguzeni jambo hili, vifo havitaisha hiyo sehem.​
 
Kuepuka wizi au ujanja ujanja wa boda wa mjini natumiaga app ya BOLT
pia jitahidi kutambua uzoefu wake barabarani, madereva wengi wanaotumia app ni wale ambao wanaoanza kazi ya boda coz kwenye vijiwe wanaona competition kubwa so they are incompitent (japo sio wote).
 
kuna hii mbinu boda wengi wanaibiwa pikipiki kwa ujinga wao,
kuna watu wanakukamata kwenye trafic light wakijifanya ni polisi jamii, na wanabargain na wewe bei hapohapo, mkishindwana wanakwambia kampe hyo hela yako askari wa kwenye kibanda ukivuka barabara ukirud pkpk haipo.​
Naondoaka na funguo zangu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom