kocha Nabi
JF-Expert Member
- Feb 1, 2022
- 709
- 1,881
Kiukweli hao jamaa siwapendi sana ingawa sio mmiliki wala dereva wa boda boda. Jamaa ni wapumbavu sanakuna hii mbinu boda wengi wanaibiwa pikipiki kwa ujinga wao,
kuna watu wanakukamata kwenye trafic light wakijifanya ni polisi jamii, na wanabargain na wewe bei hapohapo, mkishindwana wanakwambia kampe hyo hela yako askari wa kwenye kibanda ukivuka barabara ukirud pkpk haipo.
Hupaswi kumwachia funguo mtu usiyemjua na always lazima ujiridhishe kama aliyekukamata ni mtu sahihi...kuna hii mbinu boda wengi wanaibiwa pikipiki kwa ujinga wao,
kuna watu wanakukamata kwenye trafic light wakijifanya ni polisi jamii, na wanabargain na wewe bei hapohapo, mkishindwana wanakwambia kampe hyo hela yako askari wa kwenye kibanda ukivuka barabara ukirud pkpk haipo.
kweli kabisa mkuu shukrani kwa kutujuza hili.Hupaswi kumwachia funguo mtu usiyemjua na always lazima ujiridhishe kama aliyekukamata ni mtu sahihi...
na usimruhusu apenye katikati ya maroli na spidi zake.Hawa jamaa ndio wanafanyaga kazi ya boda boda inaonekana MafiView attachment 2483117
Huu ni upumbavu wa kiwango cha juu, mimi nadhani sheria ingetiliwa mkazo atakayekamatwa anaendesha bodaboda akiwa hajavaa kiatu cha kufunika akamatwe na alipe fine. Pengine ingesidia kidogo...Hawa jamaa ndio wanafanyaga kazi ya boda boda inaonekana MafiView attachment 2483117
Kuepuka wizi au ujanja ujanja wa boda wa mjini natumiaga app ya BOLTHabari wakuu
Lengo la uzi huu ni kupeana mbinu mbalimbali za --kuendesha boashara hii
-changamoto zake
-kupeana taarifa za kiusalama
-maduka yanayouza pikipiki kwa bei rahisi
-upatikanaji wa spare
-changamoto za kiufundi
-vituko vya barabarani
Mbinu wanazotumia wezi kuiba pikipiki
Kwa abiria
- njia za kuepuka ajali
- jinsi ya kumtambua boda asiye na ujuzi
- jinsi ya kumtambua boda aliye mwaminifu
- njia za kumtambua boda mwizi
- changamoto za bei kama unaenda mahala upajui
Toa mawazo yako ili wengine wajifunze.
Nakazia aitwe aje hapaUMUGHAKA huyu ni dereva bodaboda, the stori tela...[emoji41]
pia jitahidi kutambua uzoefu wake barabarani, madereva wengi wanaotumia app ni wale ambao wanaoanza kazi ya boda coz kwenye vijiwe wanaona competition kubwa so they are incompitent (japo sio wote).Kuepuka wizi au ujanja ujanja wa boda wa mjini natumiaga app ya BOLT
Naondoaka na funguo zangukuna hii mbinu boda wengi wanaibiwa pikipiki kwa ujinga wao,
kuna watu wanakukamata kwenye trafic light wakijifanya ni polisi jamii, na wanabargain na wewe bei hapohapo, mkishindwana wanakwambia kampe hyo hela yako askari wa kwenye kibanda ukivuka barabara ukirud pkpk haipo.
hili ndo litakuwa suruhisho, madereva wengi ni waiga wa haki zao watawaamini totaly wanaowakamata hata mda mwingine wanawaacha waendeshe.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hawa jamaa ndio wanafanyaga kazi ya boda boda inaonekana MafiView attachment 2483117