Uzi Maalum kwa timu za Afrika zilizofuzu kuenda Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi

Mafarao pigeni goli 100 hao Congo. Nitafulahi mno endapo egypt atatinga uruc. The great team in africa,,Farao


1 Egypt Man
2 Tunisia
3 Morocco
4 Nigeria

Naiombea moja wapo itinge fainali wazee.



Vivaa Egypt man.
Egypt imefuzu baada ya kuipiga Congo 2-1
 
Mkuu SirChief. ni waarabu aise.


Siku nyingi husikiki ukimtaja your friend KING MESSI. kulikoni mzee!!!!!
Sijawahi kuwa Fan wa huyo dogo mkuu.Toka walivyotudhalilisha Man utd pale wembley miaka ile.Sijawahi kuwapenda tena yeye na timu yake.Ila dogo ni talented sana.
 
Dah Algeria imeniuma mno kutolewa.ndio tim pekee inaweza kupambana vikali na wajungu. Naamini mafarao na tunisia hawata2angusha, Nigeria na morocco pia nawapa nafac
Kwani Morocco kashafuzu?

Kundi lao bado anayefuzu hajapatikana...
 
Kufuatia ushindi wa jioni dhidi ya Congo (Brazaville) wa mabao 2-1,timu ya taifa ya Misri imefuzu na kutinga katika fainali za kombe la dunia. Misri ilipata goli la ushindi dakika ya 90 kwa mkwaju wa penati.

Mabao yote ya Misri yalifungwa na Mohamed Salah. Kimahesabu,ingawa imebaki mechi moja,alama 12 za Misri haziwezi kufikiwa na Uganda yenye alama 8 kwasasa. Kwa miaka ya karibuni,Misri ilikuwa ikipokwa tonge mdomoni na Algeria ambao hawakufuzu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…