Uzi maalum kwa tunaocheza tatu mzuka

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Wana jf tunaofukuzia pesa kwenye tatu mzuka tukutane hapa lengo Ni kuendelea kutiana moyo,kupeana maujanja Zaid,kutakiana her na kufarijiana.one day yes.nu marufuku kukata tamaa.nawakaribisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bado kuna watu wanacheza tatu mzuka ?.... 😁😁😁😁😁😁
 
huu mchezo bora nikacheze betting ya mpira au kasino.katika mchezo huu ujui una cheza nini ujui hupo na point ngapi kazi kuwa kusanyia pesa.hata kenya ukipeleka na hisi unakimbizwa kwa kiwango cha lami[emoji90]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…