mludego
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 2,597
- 3,565
Kama kichwa kisemavyo nijikite moja kwenye mada,haya ni baadhi ya mambo yanayoñikera humu JF pindi nifunguapo Uzi.
Nimekuwa nikifungua Uzi kisha natiririka na comments ili kupata mwanga wa jambo linalo zungumziwa kama sina ufahamu nalo kwa ufasaha.
Sasa unakuta MTU anatumia ID inaitwa Mshamba Jr, mwenye Uzi anaweza akatiririka nondo za maana na za kueleweka vizuri lkn anakuja kutibua kwa kuakuandika tena jina lake mwisho wa comments,binafsi sipendi.
Pia unakuta MTU anajiita wakuvuavua ananzisha kauzi kake sasa anatokea huyo mshamba Jr ana copy baadhi ya maneno na kuyafanya kama comments inakeraa, ama mshamba Jr anaweza aka reply comment ya MTU anajiita karanga bila ya kuandika lolote.
Vilevile suala hawa baadhi member kuacha signatures zao kila mwisho wa comments inaudhi sana.
Kingine kukupigwa bani kuamisha Uzi ama kufutwa hapa sipo peke angu ni nyomi balaa.
Uzi huo.