google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,623
- 13,759
Hahhahaha fake till u make it. Ww vipi ?Humu JF watu wengi wanaishi maisha ya maigizo. Watu wengi sana wanajifanya ni good life kumbe ni choka mbaya kama INFANTRY SOLDIER
Kama huu tunaotiririka nao au upi ni pumba ?MIMI KIUKWELI SIJAWAHI KUKERWA NA KITU HUMU NDANI ILA TU HUWA NACHUKIZWA NA WATU WANAOPOST PUMBA NA THREADS ZA KIPUUZI PUUZI
KabisaaUnakerwaje na mtu usiyemuona... Maneno yake tu yanakukera,siku ukimuona sura si utakufa kabisa.
Hutowaelewa ndo maana wanakuvalia nguo mpyaaNakerwa na wale wanaume mnaokuja PM kutongoza na ID mpya. Wapuuzi nyie kwani mkija na ID zenu zile zile itakuwaje?!
Kuijaza jf kwa jicho la ki great thinkerLol. Wa namna ya kuzaliana na kuijaza dunia?.
Ivi kwan kuna MTU anaishi Jf? Au wanaandika nyuzi zinazoonyesha wana maisha mazuri? Hebu fafanuaHumu JF watu wengi wanaishi maisha ya maigizo. Watu wengi sana wanajifanya ni good life kumbe ni choka mbaya kama INFANTRY SOLDIER
Suala la kukubaliwa na kukataliwa hiyo ni habari nyingine. Cha muhimu ni wao wajiamini waje na ID zao wasije na mpyaWakija na zile zile utawakubalia? Au bado utawakataa ufanye waogope kutumia ID zao?.
Mshana Jr au Mshamba Jr ? Kama liukakasi vilee
Sent using Jamii Forums mobile app
Ad/QUOTE]Ygugjuuvy
Mkuur😖j
2ay
Mimi ni choka mbaya mlala hoi ndugu yangu sina mbele wala nyuma
Badala ya kuchangia hoja, unakuta mtu anasoma na kutafuta ulipokesea kuandika(inaweza kuwa typing error) ndio anakuwa amechangia mada na kusimamia hapo.Hoja ya maana ina sahihishwaje
Nimekupata vizuri sanaBadala ya kuchangia hoja, unakuta mtu anasoma na kutafuta ulipokesea kuandika(inaweza kuwa typing error) ndio anakuwa amechangia mada na kusimamia hapo.
Ngoja mimi nakuja na hii hii yangu? Nije saivi leo leo au weekend?Suala la kukubaliwa na kukataliwa hiyo ni habari nyingine. Cha muhimu ni wao wajiamini waje na ID zao wasije na mpya
Njoo jumapiliNgoja mimi nakuja na hii hii yangu? Nije saivi leo leo au weekend?
Poa nikitoka Church kuchukua upako nitakucheki PM huenda usinitose kwasababu ya upako.Njoo jumapili