Uzi maalum kwa 'vitu used'

Generator/jenereta mpya aina ya Boss BG-700 ya 0.65kvA inauzwa pamoja na stabilizer yake aina ya 'Airstar' ya 1kvA.
Bei ya generator....170,000Tsh
Bei ya stabilzer......60,000Tsh
Location....DSM
Contact.....0687186489
 
Hard Disk External Toshiba
Original
500 GB SATA.
Bei 70,000 Tsh/=
Kwa Maelezo zaidi PM.

 
Mwenye vitu hivi used ani pm 1.Flat tv inch 24, 2.Jiko la gesi plate 2, 3.Sofa la watu wawili
 
Mwenye
kiti cha saluni ya kiume
Vioo
Mlango wa almnium
Vifaa vya saluni ya kiume
Tuchekiane
 
jiko la gesi na mtungi complete... 200k
 

Attachments

  • IMG_20181110_193511.jpg
    119.8 KB · Views: 62
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…