Uzi maalum kwa 'vitu used'

Azam king'amuzi, remote kubwa.Imetumika miezi 120000/=.Njo PM nikuelekeze
 
Samsung S7 edge

Used 9 days,
Charge masaa 10 kwenye 4G,
Laini moja,
HAINA accessories zake(Niliichukua hivi ili kupunguza cost)
Ukiiona na shida au hata kidoti unaacha,
Ni Original na salamaa utapata mda wa kuichunguza pamoja na kuandikishana/record ukitaka. Picha hazipo clear sbb ya simu iliyotumika kupiga picha, inawaka zaid ya uionavyo, Km una bidhaa ya maana ya exchange hasa ya biashara waweza taja ni ipi, kama itanifaa kweny mishe zangu tunavunja.
530K, fixed

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simu aina ya Infinix hot5 ipo full box imetumika almost mwezi mmoja tu
Bei:220k
Mahali😀ar es salaam
Mawasiliano;0672671066 (Call or whatsapp)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nauza vifaa vya saluni
1. Mashine wahl mpya zipo 3 kila moja ni shillingi 75, 000/
2. Stelilizer mpya 170, 000/=
3. Feni 90, 000/=
Namba yangu ya simu ni 0718 421925 na pia unaweza nicheki whassap, napatikana Mbagala Zakhem...... Kama upo Dar usafiri ni juu yangu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…