Uzi maalum kwa 'vitu used'

Samsung a10s inauzwa kwa bei nzuri kabisa ya shilingi 250000, haina tatizo lolote lile bado mpyaaaa,INA ram 2gb,storage 32 GB,kwa mawasiliano nicheki kwenye namba 0659333655,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitanda na godoro for sale , 5*6 nchi 6
 

Attachments

  • FB_IMG_15894349793223460.jpg
    125.9 KB · Views: 4
Ninauza hizo bidhaa kwa muhitaji ankcheki kwa namba 0659333655...simu aina ya tecno w5 fingerprint kwa 100000/=,hard disk ya desktop gb 500 kwa 40000/= na projector aina ya epson emp-54 kwa 180000/=,nitafute tuyapange....
 
natafuta king'amuzi cha azam,king'amuzi pekee dishi ninalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…