Uzi maalum kwa 'vitu used'

Anayeuza solar battery 12V 100Ah brand ya Sundar tuchekiane PM. Mahali: Dar
 
> Baiskeli ya Mtoto size 20
> Umri miaka 6 - 14
> Used nje
> Quality grade A
Price; 100,000 Fixed.
Mawasiliano 0789 427831
Sinza, Dsm.
 
Natafuta tv inch 32kutoka kwenye kampuni hizi.
Tcl
Star x
Sony
Lg
Budget ni 200k
 
Mashine ya kunyolea inauzwa, used from UK. From the best company ya kutengeneza mashine, George.

Bei Tsh95,000 tu. Iko Dar es salaam
Free delivery in Dar
 
Blender ya kusagia na kupata juice nzuri na yenye ladha very soft.
Sold at 96,000tsh
Free delivery in Dar.
 
Sofa Kali (Hiyo moja hapo kwenye picha) inauzwa bei ya kutupaa ipo kigamboni maweni Bei Tsh 180,000/= usafiri juu yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…