Uzi maalum kwa wake na waume,,,!

Nguvu moja

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
3,371
Reaction score
2,713
Mwanamme anaweza, kupata mwanamke asietulia, vijana wa leo, wanaita "Kicheche" na mwanamke, anaweza kupata Mwanaume, gumegume. A.k.a. "Malaya" Imooooooo.... Mods, chonde chonde uzi wangu, wakuu msiufute...[emoji106] [emoji106] [emoji106].
 
Mi ua nashaangaa wema wengi ua wanaokota vibovu, halafu hata hawastuki, ivi ni aje apa?
 
Mwanamme anaweza, kupata mwanamke asietulia, vijana wa leo, wanaita "Kicheche" na mwanamke, anaweza kupata Mwanaume, gumegume. A.k.a. "Malaya" Imooooooo.... Mods, chonde chonde uzi wangu, wakuu msiufute...[emoji106] [emoji106] [emoji106].

Kwa hiyo unataka kumaanisha nini, maana bado sijaelewa nia yako.
 
Kwa hiyo unataka kumaanisha nini, maana bado sijaelewa nia yako.
Hiyo username yako, tu inajieleza yenyewe hapo mkuu, sasa mie nitaweza wapi, mabishano na wewe, tuendelee na, mengine tusitoke nje ya mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…