Mkuu, utamwonea bure mshkaji, hasa hapo kwenye bold, labda bank ya dunia iendelee kushinikiza hilo vinginevyo, hairuhusiwiKarudie utafiti wako na uufanye kiweledi, ukirudi hapa uje na ripot ya kitakwimu
Uko sahihi mkuu,I think term nzuri ya kutumia hapo ni "introverts" sio "antisocial"
Ungekuwa unaongelewa usingekuwa hapa....unaelewa maana ya anti - social hao jamaa wanaongelewa hapo juu hata humu hawamo.......hawajichanganyi na jamii kwenye real world ....mpaka humu kwenye cyber spacengoja nikae kweny huu uzi kama naongelewa vile
Hao watu wana cord....zao level yao ya mawasiliano ww huwezi ijua.....alafu wengi wana IQ kubwa ww labda ulisoma na watu wapole au waoga.....sio wakimya...Na sisi waongeaji tusemeje Mkuu maana tumesoma na watu hao lakini waliambulia kichapo kibaya sana katika uwanja wa taaluma na huku kitaa kama huna communication skills huwezi toboa kwani ajira hakuna
Wewe punyeto ndio zimekufanya hivyoUko sahihi mkuu,
Nafikiri pia nami nipo kwenye kundi hili mara nyingi hua najaribugi kujichanganya sana lakini mwishowe najistukia kabisa kua huyu sio mimi!
Hao watu wana cord....zao level yao ya mawasiliano ww huwezi ijua.....alafu wengi wana IQ kubwa ww labda ulisoma na watu wapole au waoga.....sio wakimya...