Uzi maalum kwa wanaopenda kukaa/kufanya mambo wenyewe,-anti social

YOU ARE JUST AN ARROGANT FREAK!
 
vile vile hawa jamaa huwa wanachukua mademu wabovu akiona amevutiwa anaingia hawajuagi demu ana taswira gani mtaani..
 
Mkuu, hivi ukisoma darasa lenye wanafunzi 500 unaweza kukosa hao watu. Vipi huko chuoni napo sikuwakuta. Njoo kitaa sasa ni mwendo wa kuwaburuza tuu mpaka kaburini
Anti social sio wote vipanga.....vilaza wapo pia.....ila wengi wao wana IQ kubwa sababu za kujitenga ni kwasababu akili zao zinasafiri kwenye redius/frequency kubwa kuliko wazee wa ku-socialiser....
 
Ni Kweli Mzee.... mfano Mimi mpaka watu wanani shangaa nilivyo.
ni ngumu kueleweka na jamii na wengi huchukulia jamii haitawaelewa kwa kile watakachoongea maana inakuwa wanafikiri kwa ulimwengu mwengne
 
Ndio hao wakimya weng madomo zege ..wataongea nn wakati ni wakimya hawa socialize na watu .in short hata waoga pia ni madomo zege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…