Uzi Maalum Kwa Wanaopenda Kulakula

Uzi Maalum Kwa Wanaopenda Kulakula

kisokolokwinyo20

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2019
Posts
472
Reaction score
423
Ebana huu ni uzi kwa wale ambao appetite zetu zipo juu muda wote yani tumbo likiona karanga linaweka, likikaa kidogo chips mayai, baada ya muda kidogo tunatupia utumbo yani ali mradi tumbo lipo active na enzymes wanajionea sampuli nyingi za vyakula.

Twende kazi
IMG_20161113_175724.jpeg
 
mm napenda kula ila siwez, yaani unakuta napania ila sijawah maliza sahani labda nyumbn ambao wanajua size yang au labda kpnd nipo shuleee, na ni mwembamba kiasi kwamba kiasi kwamba naweza pita kwenye dirisha la griri, huku mtaaani wananiita magriri, maana nishawahi penya kwenye griri kwenda kuokota funguo.
 
....Huu uzi ungefaa kufunguliwa mwezi ujao.
Naona kama tunawatesa ndugu zetu waliofunga, au??[emoji5][emoji5]
 
HAHAHAHAH

Back
Top Bottom