kisokolokwinyo20
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 472
- 423
Hahahswaumu ya Leo itakuwa imekutesa sana
Ya kwanza ni ipi?
Aisee watu wabunifu kishenzi, nimeuelewa huo mpaka
msisahau kuwa mnafanya na mazoezi kwa afya. Say no to vitambi.
Kwa mafuta hayo yalivyo mengi nikiona tu nimeshiba
mm napenda kula ila siwez, yaani unakuta napania ila sijawah maliza sahani labda nyumbn ambao wanajua size yang au labda kpnd nipo shuleee, na ni mwembamba kiasi kwamba kiasi kwamba naweza pita kwenye dirisha la griri, huku mtaaani wananiita magriri, maana nishawahi penya kwenye griri kwenda kuokota funguo.
Tunauita mpaka wa MexicoAisee watu wabunifu kishenzi, nimeuelewa huo mpaka
πππTunauita mpaka wa Mexico