Uzi maalum kwa wanaotaka kujua kuhusu kontena zinazohifadhi mali mbichi(reefercontainer)

MAJIYAPWANI

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Posts
1,726
Reaction score
2,691
Habari

Niko hapa leo kushare experience yangu na nyie wanajamvi kuhusu hili jambo najua wengi wenu sio geni kuwahi kukutana nalo na wengine ni geni kukutana nalo je? ushawahi kujiuliza samaki wanasafirishwaje nje ya nchi mpka kufika sehemu husika matunda yanasafirishwaje mpka kufika nje ya nchi mfano ulaya, asia &america?

Pia aina hizi za container zinafanya kazi kwa umeme wa three phase(380~460)v

Haya yote ya yanawezekana kwa kutumia container maaalum zinazoitwa reefer container. kwa hiyo mwenye maswali yeyote juu ya hili namkaribisha kwa uelewa zaidi

Wako mtiifu reefer technician majiyapwani
 
Mkuu unge edit uzi wako upunguze typos na pia upangilie vizuri angalau uvutie kusomwa.

Ukitumia herufi ndogo pia itapendeza. Asante
 
Mkuu unge edit uzi wako upunguze typos na pia upangilie vizuri angalau uvutie kusomwa.

Ukitumia herufi ndogo pia itapendeza. Asante
NIMEZINGATIA HILO ILA SAMAHANI KWA KUTOWEKA KITUO WALA KOMA MIMI SIO MTAALAM SANA KWENYE UANDISHI MKUU NISAMEHE KWA HILO
 
Ungefafanua Namna Huo Utunzaji
Wa Matunda Na N.k
Halafu Maswali Ndiyo Yanawezekana
 
Naomba kuuliza, ni technologia gani hutumika kusafirishia mbogamboga mpaka zinafika zikiwa fresh?
SAWA SAWA MKUU ZAMANI WATU WALIKUA WANAPATA TABU SANA MIAKA YA 2000 KUSHUKA CHINI KUSAFIRISHA MALI MBICHI ZAO MFANO MBOGA MBOGA NA KADHALIKA ILA KMAPUNI YA MAERSK IKAAMUA KUTENGENEZA KONTENA MAALUM KWA AJIRI YA KUSAFIRISHA MATUNDA NA MBOGA MBOGA NAZO PIA ZINAITWA CONDITIONAL ATMOSPHERE (C.A) REEFER CONTAINER. MAALUM KWA AJIRI YA KUSAFIRISHA HVYO VITU
 
Ungefafanua Namna Huo Utunzaji
Wa Matunda Na N.k
Halafu Maswali Ndiyo Yanawezekana
MAKONTENA HAYA BAADA YA MZIGO KUPAKIWA LAZMA YAWE KWENYE UMEME MDA WOTE NA HATA LIKIWA LINASAFIRIWA KWENYE MELI LINAKUA KWENYE UMEME ILI KUZUIA MZGO USIHARIBIKE
 
Kuna Suala Baadhi Ya Watu Husema Kuwa
Matunda Na Mboga Ili Yawe Kwenye Hali Yake Ya Ubichi Huoshwa Kwa Dawa Maalum Kuyalinda
Endapo Hakuna Hizo Fredge Za Container
 
Y
Nataka kufahamu hizo container zinaweza kusafirishwa kwa gari?
YES MKUU ZINAWEZA KUSAFIRISHWA NA GARI MFANO KUNA SAMAKI HUWAGA ZINAPAKIWA KWENDA KONGO SO NI LAZMA GARI LIWEPO ILI KUWEZESHA KUPELEKA MZIGO KONGO AU RWANDA BURUNDI KOTE HUKO LINAKWENDA BILA TATIZO.....
 
Kuna Suala Baadhi Ya Watu Husema Kuwa
Matunda Na Mboga Ili Yawe Kwenye Hali Yake Ya Ubichi Huoshwa Kwa Dawa Maalum Kuyalinda
Endapo Hakuna Hizo Fredge Za Container
HAPANA MKUU HAKUNA HIZO DAWA KUTOKANA NA NINI WOTE TUNAJUA SIKU ZOTE MMEA AU TUNDA LISTAWI AU LIMAINTAIN ILE QUALITY YAKE LAZMA KUWEPO NA OXYGEN NA CARBON DIOXIDE SO KWENYE HAYA MAKONTENA KUNA AINA YA CONTAINER MAALUM AMBAZO ZINAITWA CONTROL ATMOSPHERE REEFER CONTAINER KWA MFANO MZIGO WA PARACHICHI UKIWEKWA HUMO NDANI BAADA YA HAPO KUNA KIWANGO CHA OXYGENI NA CARBONDIOXIDE KINASETIWA ILI MZIGO ULIOPO NDANI UWEZE KU MAINTAIN ULE UBORA MPKA UTAKAPOFIKA
 
Kwaiyo wewe ndo uyo kwenye picha mkuu[emoji41]
HAPANA HAPO NILIKUA GABON MKUU NILIKUA NIMEENDA KWENYE PORT MOJA NA HUYO JAMAA NI MCAMEROON(YARD SUPERVISER) KUNA KONTENA ILIKUA INATATIZO NILIENDA KUIREKEBISHA😊😊😊😊
 
Kwa hyo linakuwa kama friji?
YES MKUU LIKO KM FRIJI.. LIPO FUTI 40, PIA YAPO YA FUTI 20..., KIUREFU KIMO KM NCHI TISA HVI. NA MATERIAL YAKE YOTE KWA NDANI YAMETENGENEZWA NA ALLUMINIUM ILA NJE NI MCHANGANYIKO KIDGO ALLUMINIUM STEEL NA IRON KIDGO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…