Uzi maalum kwa wanaotaka kujua kuhusu kontena zinazohifadhi mali mbichi(reefercontainer)

Mkuu naomba kufahamu,umeme unaotumiwa na hayo makontana unazalishwa kutoka wap?
OK UMEME UNATOKA KWENYE MAGENERATOR MAALUM AMBAYO YANAWEZA KUTOA UMEME AMBAO UNAWEZA KUSUKUMA AU KUWASHA HEAVY DUTY MACHINES.. PIA HATA UMEME WA VIWANDANI KI ENGINEER TUNAIUITA 3PHASE AMBAO UNATUMIKA KUSUKUMA MITAMBO MIKUBWA MIKUBWA ..
 
Mkuu naomba kufahamu,umeme unaotumiwa na hayo makontana unazalishwa kutoka wap?
PIA YAPO MAGENERATOR AMBAYO YANAFUNGWA KWENYE KONTENA HIZO LINAKUA LINAFANYA KAZI KUPELEKA UMEME KWENYE KONTENA PINDI MZIGO UNAPOSAFIRISHWA KUTOKA SEHEMU MOJA MPKA SEHEMU NYINGINE MFANO KUTOKA DAR MPKA KONGO BURUNDI LAZMA UHITAJI GENERATOR MAAALUM KITAALAM LINAITWA GENSET..... LINAFUGWA KWENYE KONTENA LINAENDELEA KUTOA UMEME MPKA HAPO LITAKAPOFIKA NA MZIGO UKIWA SALAMA KABISA
 
Mkuu naomba kufahamu,umeme unaotumiwa na hayo makontana unazalishwa kutoka wap?
KM UNAVYOWEZA KUONA MFANO WA HAYO MAGENERATOR KIPINDI UNATAKA KUSAFIRISHA MZIGO KWA GARI SEHEMU ZA MBALI ZINAZOWEZA KUTUMIA HATA SIKU TANO HADI SITA
 
Attachments

  • PowerLINE_rg15_tier4i_clip_product_Large_12082015.jpg
    14.5 KB · Views: 27
  • images (2).jpeg
    14 KB · Views: 25
Mkuu naomba kufahamu,umeme unaotumiwa na hayo makontana unazalishwa kutoka wap?
UMEME HUUU HUU WA TANESCO ILA UNAKUA TOFAUTI KIDOGO KIUFUPI NI UMEME UNAOTUMIKA VIWANDANI KITAALUMI UNAITWA THREE PHASE (380~460)V NI UMEME UNAOTUMIKA KUSUKUMA AU KUENDESHA MITAMBO MIKUBWA MIKUBAA
 
Mkuu maji ya Pwani, Kwa uzoefu wako container kama hilo linauzwa bei gani?
INATEGEMEA NA KONTENA JINSI LILIVYO NA MWAKA ULIOTENGENEZWA PIA NA MUONEKANO WA KONTENA NA UCHAKAVU WAKE... YOTE KWA YOTE LIKIWA FURESH HALINA DAMAGE YEYOTE NI KM $50,000 MPKA $45000 INATEGEMEA NA KAMPUNI UNAYOENDA KUNUNUA NA NEGOTIATION YENU. MANAKE KAMPUNI ZIKO MBILI KUNA MAERSK NA CMA
 
Mkuu asante sana kwa elimu hii, nauliza maua pia yanayotoka Arusha kwenda ulaya kwa ndege yanatumia utaratibu huo?
 
Mkuu asante sana kwa elimu hii, nauliza maua pia yanayotoka Arusha kwenda ulaya kwa ndege yanatumia utaratibu huo?
YALE YA ARUSHA SIJAFAHAMU SANA ILA WANATUMIA PIA ILA KONTENA NDOGO ZA FUTI ISHIRINI ZINASAFIRISHWA MPKA ZINAFIKAIN CASE WANAPAKI MZIGO MKUBWA
 
OK UMEME UNATOKA KWENYE MAGENERATOR MAALUM AMBAYO YANAWEZA KUTOA UMEME AMBAO UNAWEZA KUSUKUMA AU KUWASHA HEAVY DUTY MACHINES.. PIA HATA UMEME WA VIWANDANI KI ENGINEER TUNAIUITA 3PHASE AMBAO UNATUMIKA KUSUKUMA MITAMBO MIKUBWA MIKUBWA ..

mkuu nahitaji huo ujuzi,naweza kuupata kupitia ww na ghalama zikoje na nini kinahitajika???
 
mkuu nahitaji huo ujuzi,naweza kuupata kupitia ww na ghalama zikoje na nini kinahitajika???
GHARAMA ZAKE NI KUBWA KIDGO COZ MOJA YA MWAKA MZIMA NI DOLA KM ELFU TANO NA KUENDELEA MPKA ELFU KUMI NI GHALI SANA NA VYUO VINAVYOFUNDISHA HAYA MAMBO VIKO CAMEROOON GABON SOUTH AFRICA GHANA
 
mkuu nahitaji huo ujuzi,naweza kuupata kupitia ww na ghalama zikoje na nini kinahitajika???
ILA KWA TANZANIA HAKUNA WANAYO FUNDISHWA HAYA ILA WANASEMA UWE ATLEAST UMEASOMEA ELECTRICAL ENGINEER AU HATA MECHANICAL INA SANA ELECTRICAL BECAUSE KILA KITU KINATUMIA UMEME.........NCHI ZINGINE KM GABON HUKU WANASOME ELECTROMECHANICAL WANAMIX
 
[emoji1317][emoji1317]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…