ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,154
- 4,184
Habari za Wakati Huu;
Kwanza Kabisa niseme tu kwamba Hii habari/hali ya kusikia na kuona sura na majina yaleyale katika nafasi za UTEUZI nafikiri inachangia PIA katika kudororesha Utendaji Serikalini na kuondoa Uwajibikaji.Kwa kuwa majina ya TEUZI na Tenguzi hupelekwa kimya kimya na kutangazwa huku watu wakilazimika kufanya lobying ya kiwango cha juu ili majina yao yapite.
Hivyo Basi kutokana na kuamini kwamba hapa jukwaani wanapita watu wa namna na njia mbalimbali naona ni vizuri kama Huu UZI utakuwa tu ni Maalum kwa ajili ya wale ambao wanatamani Nafasi za TEUZI na Wako Tayari kufanya Kazi.
Unapokuja Kwenye UZI Taja Nafasi ambayo unatamani/unaweza kufanya,Eleza kuhusu uwezo na uzoefu wako bila kuweka Taarifa binafsi.Onyesha Pia ni kwa nini unafikiri unafaa kufanya kazi hiyo na sio anayeifanya Sasa hivi.
Ukishaweka Maelezo Hayo.TULIA .
Zingatia Usiweke namba ya SIMU wala mawasiliano BINAFSI yoyote kwa usalama wa TAARIFA yako na Wala usijibu PM ya Mtu yeyote anayetaka TAARIFA zako BINAFSI.
Wale watakaopita Mtajulishwa namna mtakavyopewa TAARIFA.