Uzi maalum kwa wapenzi wa Muziki mzuri

Hahahaha kiarie buana

Aki kasmart[emoji23] [emoji23]
Huyo ndo mume wake kweli na hiko kitoto chao
Hahaha mume wake wa ukweli ukweli ndo yule Kismart au huyu jamaa mwenye dread?

Kiarie[emoji16] [emoji16] [emoji16] Vanessa akikusikia
 
Huyo jamaa mwenye dread

Hahaha umenifanya nikumbuke shiro alivyomwambia yule muuzaji huyu sio mutoto ni muzee yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Aisee kumbe,, sikuwa nafahamu

Hahaha shiru anavituko sana,, vp pale Kismart anagonga mlango Shiru akienda kufungua mlango haoni mtu,, zaidi ya mara ya tatu akifungua haoni mtu,,, kisa Kismart mfupi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiiii jaman

Mayweather sasa gaiii wale watu wanachekesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…