Uzi maalum kwa wapenzi wa Muziki mzuri

[emoji91] [emoji91]
 
Ty Dolla $ign ft YG-Ex [emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
Kwanini wakenya wengi wanachanganya mno kiswahili na kiingereza....
Sijajua kwanini,,,ila nachojua mm Kiingereza kwao kina kuwa simple sana tokana na background yao ya shule,,lkn sio wakenya wote wasanii wa Mombasa wanajthd kutumia Kiswahili kwa ufasaha zaid tofaut na wale wa Nairobi
 
Wanatakiwa wapige Swahili mwanzo mwisho au kiingereza mwanzo mwisho, siyo kuchanganya changanya kama " OCTOPIZZO " 😑
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…