Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
imetokeaje mpaka umeanza kumkubali Abel hivi
Ngoma kali kinouma
nimenza kusikiliza nyimbo zake toka 2013 kipindi hiko yupo na album ya kiss landimetokeaje mpaka umeanza kumkubali Abel hivi
jamaa anajua sana hii ipo kwenye album ya beuty behind the madnessNgoma kali kinouma
jamaa anajua sana hii ipo kwenye album ya beuty behind the madness
One Right Now - Post Malone, The Weeknd.nimenza kusikiliza nyimbo zake toka 2013 kipindi hiko yupo na album ya kiss land
Kipindi hiko❌️nimenza kusikiliza nyimbo zake toka 2013 kipindi hiko yupo na album ya kiss land
best songOne Right Now - Post Malone, The Weeknd.
swahili miyeyusho mkuuKipindi hiko❌️
Kipindi hicho✅️
king kiba
Gusa, Achia, Twende kwao...!