[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimekuona[emoji23]
boziboziana ft imperior bakubaUnapenda wimbo gani? Karibu tushare na kuburudika pamoja.
NB: Wimbo wowote uupendao iwe Gospel, Hip-hop, Rnb, Trap songs, Slow jam, Jazz, Bongo fleva etc etc.
KARIBUNI[emoji4]
jakitooView attachment 706131
Mie mtoto wa mama[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] chauvivu
Hapa kazi tu. Nipo miongoni mwa hao watu
Wewe inapaste vipi mbona yangu haioneshi kama hii yako?
[emoji91]
Nimefanya hivyo hivyo ndio maana inaonekana hapo.Nacopy link youtube alaf napaste hapa
We unafanyaje?
Naomba upige screenshot ya link(kitufe) unayoicopy ili nione kama inafanana na link(kitufe) ambayo ninakopi mimi huenda nakosea kuanzia kuleDooh
Umepaste kiaje?
Mimi napress and hold hadi option ya paste ikikuja ndo napaste