Yeah... Hizi zinaitwa nyimbo za duniani, zinapigwa kila kona ya dunia. Hata uende club za India, China, Japan, France, Rwanda na hata Australia lazima utazisikia zikipigwa. Siyo habari za singeli, sijui ubongo fleva sijui nini zinazoishia hapo Burundi.
Uwiii mimi hawa wadudu wanaochezewa umu ndo nashindwaga kabisa kuwaangalia,mejuta kufungua hii
Wasukuma na wanyamwezi ngoma yenu hiyo
Huhu chuma kingine nnachokielewa kwenye playlist yang
2+2 is 4 minus 1 thats three quick maths dah ....hahaha
Real beatiful song