Uzi maalum kwa wasiopost, wasiocoment, wasio like

UZZIMMA

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
414
Reaction score
481
Habarini. Katika kila sehemu hapakosi wakimya, waongeaji sana na walio kati yao n.k.

Ingawa kuna wengine humu huwa kuanzisha uzi ni kawaida mara kwa mara. Ila wengine wanapenda kusoma sana kuliko kuandika (Mmojawapo mimi).

Sasa wale ambao wapo kimya sana, sasa huu ndio uzi wetu. Andika lolote, hata kuguma tu "mh", haha!, au tusalimiane tu kwa kuwa tupo kimya muda mrefu, ili tupate kujuana tu ki-JF-JF.

KARIBUNI.
 
Sisi wakimya hatukomenti kitu hata kwenye huu uzi
 
💃🏿🕺🏽

 
Oooo.... Iiiiiiiiii....... Aaaaaaa.. uuuuuwi....mama nafwa..... Eeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…