Uzi MAALUM kwa watumiaji wa Apple Iphone 16 tu!

Uzi MAALUM kwa watumiaji wa Apple Iphone 16 tu!

Mshangazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
1,143
Reaction score
4,462
Huu ni uzi maalum kabisa kwa wale wachache tunaokwenda na muda kiasi cha kuhakikisha teknolojia mpya zaidi ya simu duniani yaani iphone 16 ipo kwenye mikono yetu laini.

Hapa tutaambiana vile ambavyo tunatazamwa tunapopokea simu mbele za watu na jinsi ya kufanya vitu mbalimbali kwenye simu zetu.

NB. Mods MTU AKICOMMENT HAPA na KALKULETA yake ya huawei tecno samsung oppo nk APIGWE BAN MIAKA 3 NA ID YAKE IFUTWE.

Karibuni waungwana wa iphone 16.
 
ni washamba wachache walokosa iphone ndo hutumia samsung
Hii picha imepigwa na samsung sio latest leta ya kwako ya iphone latest.
20240630_115206.jpg
 
Huu ni uzi maalum kabisa kwa wale wachache tunaokwenda na muda kiasi cha kuhakikisha teknolojia mpya zaidi ya simu duniani yaani iphone 16 ipo kwenye mikono yetu laini.

Hapa tutaambiana vile ambavyo tunatazamwa tunapopokea simu mbele za watu na jinsi ya kufanya vitu mbalimbali kwenye simu zetu.

NB. Mods MTU AKICOMMENT HAPA na KALKULETA yake ya huawei tecno samsung oppo nk APIGWE BAN MIAKA 3 NA ID YAKE IFUTWE ..!!

Karibuni waungwana wa iphone 16 ...
Duh! Kapicha ka iPhone 16 Pro Max
 
Back
Top Bottom